Tuesday, July 10, 2012

SHAMRA SHAMRA KATIKA SOKO LA MWIKA, MOSHI VIJIJINI BARABARA YA MARANGU ROMBO

Jul 10th 2012, 12:06



Ndizi zikiwa tayari kuuzwa kwa watumiaji wa mikoani. Ndizi nyingi zinapelekwa jiji la dar es salaam kutoka katika soko hili

huu ndo msimu wake



wamama wa kichagga wakitafuta mlo wa leo katika biashara ya ndizi P

PICHA ZOTE NA JOSEPH MASUE

No comments:

Post a Comment