Wengi
wametaka kujua juu ya maendeleo ya ujenzi, zifuatazo ni picha chache juu ya
barabara hiyo
|
Sehemu ya barabara
Kiboro-Wilayani, iko kwenye hatua za mwisho, mitaro imekamilika kwa kiasi
kikubwa na alama za barabarani zinaendelea kuwekwa bila kusahau matuta ya
kupunguza mwendo!!! |
|
Barabara sehemu ya Mkuu
Mjini |
Sehemu ya bararabara Mwika -
Kilacha, ujenzi unaendelea... angalia picha chini:
Sehemu ya barabarabara ya
Mkuu - Mwika ujenzi unaendelea, kumwaga vifusi vya changarawe/udongo,
n.k.
|
Kwamangulwa |
Tayari wasafiri wameanza kuona
tofauti katika sekta ya usafiri kabla hata barabara haijakamilika
|
Idadi ya watalii inaonekana
kuongezeka? |
|
Gari la abiria likiwa Mwika
Sokoni |
|
Kifunuka |
|
Mkuu
Mjini |
2 comments: