Ndizi zikiwa tayari kuuzwa kwa watumiaji wa mikoani. Ndizi nyingi zinapelekwa jiji la dar es salaam kutoka katika soko hili huu ndo msimu wake wamama wa kichagga wakitafuta mlo wa leo katika biashara ya ndizi P PICHA ZOTE NA JOSEPH MASUE
No comments:
Post a Comment