Tuesday, July 10, 2012

MGOMO WA MABASI YA MOSHI -ARUSHA WAZUA TAFRANI VITUONI

kutoka http://kapingaz.blogspot.se/

TASWIRA MBALI MBALI ZA MATOKEO YA MGOMO WA MABASI YA USAFIRISHAJI KATI YA ARUSHA NA MOSHI KAMA WANAVYOONEKANA ABIRIA WAKIWA KWENYE STAND KUU YA MABASI JIJINI ARUSHA WAKITAFUTA USAFIRI KAMA WALIVYOKUTWA NA KAMERA YETU.

MGOMO HUO BADO UNAENDELEA KWA SIKU YA TATU SASA HALI INAYOLETA USUMBUFU KWA ABIRIA HAO AMBAO HATA INAWABIDI KUINGILIA MADIRISHANI KWENYE MABASI MACHACHE YANAYOFANYA KAZI, NA WENGINE KUIBIWA. INASEMEKANA MGOMO HUO UMETOKANA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI KUPANDISHA USHURU KUTOKA 1000 -2000 BILA YA KUFIKIA MUAFAKA NA WAMILIKI HAO WA VYOMBO VYA USAFISHAJI MJINI HUMO.


No comments:

Post a Comment