Tuesday, July 31, 2012

MWENGE WA UHURU WAINGIA MKOANI KILIMANJARO

By MUHIDIN MICHUZI on July 31, 2012  http://tzdailyeye.jibostudios.com
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama(Kulia) akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe Eraston Mbwilo katika mji wa Hedaru uliopo wilayani Same mkoani Kilimanjaro
Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro kutoka kulia ni Mhe Novatus Makunga(Hai),Mhe Pallangyo(Rombo),Mhe Dkt Charles Mlingwa(Siha) na Herman Kapufi wa same
Mwenge eeh Mwenge Mbio mbio,mwenge tunaukimbiza mbio mbio......muda mfupi kabla ya makamanda wa mkoa wa Manyara hawajaukabidhi kwa wenzao wa mkoa wa Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment